KARIBUNI KIWANJA

Monday, May 24, 2010

ADRIANO KUJIUNGA NA ROMA

Adriano mchezaji wa zamani wa mabingwa wa ulaya Fc Inter  na Flamengo ya Rio de Jenairo anampango wa kujiunga na AS Roma kwa msimu ujao wa ligi ya seria A, makubaliano ya roma na flamingo yapo katika hatua za mwisho inawezekana baada ya siku tatu zijazo Roma wanaweza kutiliana mkataba na mjezaji huyo

No comments:

Post a Comment