KARIBUNI KIWANJA

Wednesday, May 19, 2010

GAUCHO AMLALAMIKIA DUNGA


Mchezaji wa kimataifa wa brazil na timu ya milan Ronaldinho amelalamika kwa kutochaguliwa katika timu hiyo ya brazil na kusema kuwa hatoangalia mechi yoyote ya brazil ingawa anaipenda timu yake hiyo

No comments:

Post a Comment