KARIBUNI KIWANJA

Sunday, May 9, 2010

KIKAO CHA MSIBA WA SLIM


Watanzania walijumuika kwa pamoja kusikiliza ratiba ya mazishi ya marehemu SALIM ISSA ISIHAKA aliyefariki siku ya jumatano 5/5/2010 ghafla. mipango ya mazishi imekamilika. Marehemu atazikwa kesho asubuhi ROME katika makaburi ya kiislam.

No comments:

Post a Comment