KARIBUNI KIWANJA

Thursday, May 20, 2010

MAFAHARI WAWILI KUUMANA BERNABEU JUMAMOSI IJAYO


Mafahari walwili wakiwa wanaziongoza timu zao za vilabu vya mpira barani ulaya Van gaal bayern munich na Mourinho Fc inter siku ya jumamosi timu hizi zitakutana katika fainali za kombe la mabingwa wa ulaya kwa vilabu katika uwanja wa santiago bernabeu katika jiji la madrid nchini spain, walisha wahi kuifundisha timu ya Fc barcelona wakati Van gaal kocha mkuu na msaidizi wake akiwa Mourinho, timu zote zimeahidi kulinyakua kombe hilo

No comments:

Post a Comment