Thursday, May 20, 2010
MAKONDAKTA JE MTAWANYANYASA MPAKA LINI WANAFUNZI?
Naomba nitundike tena postii hii kutokana na tabia kama hii ya makonda mchini kushamiri siku hadi siku kunyanyasa wanafunzi karibu kila kukicha bila hatua zozote za msingi kuchukuliwa maelezo ya posti ya zamani yalikua kama Hivi:Kondakta wa daladala linalofanya safari zake kati ya Jamatini na Mnadani Mkoani Dodoma akimkunja mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana Msalato mjini humo kwa kumdai sh400 kwa safari ya kutoka mjini hadi Msalato. Wanafunzi wa shule hiyo wamekuwa wakilalamika kunyanyaswa na makondakta wa daladala kwa kuchukua nauli za abiria mtu mzima ilhali wao ni wanafunzi. SERIKALI LITUPIENI MACHO HILI SWALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment