KARIBUNI KIWANJA

Thursday, May 20, 2010

MEYA WA JIJI LA MWANZA MBARONI KWA MAUAJI

                                                   Marehemu bi bahati stephsno umri miaka 50
Jeshi la polisi linamshikilia meya wa Jiji la Mwanza Mstahiki leonard


Bihondo kwa kosa la kuhusika na mauaji ya katibu wa CCM kata ya

Isamilo, Bi Bahati Stephano (50) ambaye aliuawa kwa kuchomwa na kisu

ofisini kwake mtaa wa nera jijini Mwanza majira ya saa 6:30.



Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Simon Sirro amethibitisha na kusema

alikamatwa jana Uwanja wa Ndege jijini Mwanza akitokea Dar es salaam.

habari kamili baadaye.

No comments:

Post a Comment