KARIBUNI KIWANJA

Friday, May 28, 2010

MTIHANI WA DARASA LA PILI

MTIHANI WA MAARIFA YA DUNIA:

instruction, muda 10 seconds
        majibu mpe mwenzako

JIBU MASWALI YOTE

  1. Kama hela haioti kwenye miti kwa nini banki zina matawi?
  2. kwa nini gundi hazigandi kwenye chupa yake?
  3. Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa,kwanini bar kuna parking?
  4  . Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa tu,kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?

      Best wishes.

No comments:

Post a Comment