KARIBUNI KIWANJA

Friday, May 28, 2010

MZEE PWAGU AFARIKI DUNIA


Mzee Rajabu Hatia almaharufu kama Mzee Pwagu, amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya mwananyamala jijini Dar katika majira ya saa kumi za jioni alikokuwa amelazwa kwa maradhi yaliyokuwa yamemsumbua kwa muda mrefu. mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho katika makaburi ya kigogo jijini Dar.
msiba upo nyumbani kwake kigogo karibu na round about ya kigogo na magomeni.

No comments:

Post a Comment