KARIBUNI KIWANJA

Wednesday, May 12, 2010

TID ACHEZEA MAKOFI

Ilikuwa alfajiri baada ya TID kutoka kwenye ukumbi wa starehe wa CLUB BILICANAS  ghafla kutokana ma madai ya TID mchezaji wa basketball wa NBA HASHEEM THABEET alipomtokea TID na kula zote
na kumuacha jamaa chini amekata mawasiliano, Mshikemshike ilijaribu kutafuta HASHEEM THABEET ili athibitishe uvumi huo hakupatikana.

No comments:

Post a Comment