Wednesday, June 9, 2010
HAPPY BIRTHDAY JOSEPH KUSSAGA
Leo Juni 9 ndiyo kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Joseph Kussaga,pichani akikata keki mbele ya baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hiyo,Kwani ilikuwa ni kama Suprise kwake! Blog ya Jiachie inamtakia maisha marefu na mwenye afya njema BIG BOSS Joe,na Mungu azidi kuzibariki kazi za mikono yake daima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment