KARIBUNI KIWANJA

Saturday, June 5, 2010

ITALY VS SWIZ 1-1


Katika mechi ya kirafiki ya kujipima nguvu kati ya Italia na Uswizi jioni hii timu hizo zimetoka sare ya magoli 1-1 magoli hayo kwa upande wa Italia alikuwa ni Quagliarella na kwa upande wa Swizi goli lilipachikwa na Inler.

No comments:

Post a Comment