KARIBUNI KIWANJA

Tuesday, June 1, 2010

MBRAZIL KUIWAKILISHA UJERUMANI KWENYE KOMBE LA DUNIA

Mbrazil Cacau ambaye anaichezea timu ta Suttgart kwa sasa ana uraia wa brazil na ujerumani ameamua kuliwakilisha taifa la kijeruman katika fainal za kombe la dunia zitakazofanyika huko afrika ya kusini mwezi huu.

No comments:

Post a Comment