KARIBUNI KIWANJA

Saturday, May 15, 2010

AC MILAN YAIFUNGA JUVENTUS 3-0


Katika mchezo wa mwisho wa ligi ya seria A uliochezwa leo usiku kati ka Milan na Juventus, timu ya Milan wameiadhibu  timu ya Juventus kwa magoli 3-0 ,Ronadinho aliweza kufunga magoli mawili na Antonini alifunga goli moja.

No comments:

Post a Comment