Saturday, May 15, 2010
CHELSEA MABINGWA WA FA CUP
Carletto Ancelotti kocha wa zamani wa timu ya Ac Milan baada ya malumbano na mkuu wake wa kazi Abrahamovich baada ya Chelsea kutolewa katika mashindano ya ubingwa wa ulaya na Fc Inter Milan ya Italia, jioni hii amewaka tena na kuiwezesha timu yake ya Chelsea kulinyakua kombe la Fa cup baada ya kuifunga timu ya Portmouth kwa bao 1-0 lilifungwa na mshambuliaji hatari Didier Drogba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment