Sunday, May 16, 2010
INTER BINGWA ITALIA 2010
FC Internazional Milano imetwaa ubingwa wa Italia kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuifunga timu ya Siena kwa goli 1-0 bao lililofungwa na mshambuliaji hatari Diego Milito katika kipindi cha pili dakika 14, Inter imeweza kulinyakua kombe hilo kwa mara 18 katika historia ya klabu hiyo
FORZA NERA AZZURO!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment