KARIBUNI KIWANJA

Sunday, May 16, 2010

MOU KUIFUNDISHA REAL MADRID?


Kuna uzushi umetapakaa kuwa Mourinho kuifundisha Real Madrid katika msimu ujao kwa donge nono,
Flontino Perez ni raisi anaeongoza kwa kununua star yoyote yule kama hakimuitaji, basi tunasubiria tuone kama uvumi huu ni wa kweli.

No comments:

Post a Comment