KARIBUNI KIWANJA

Wednesday, June 2, 2010

BRAZIL

Timu ya taifa ya brazil imeifunga timu ya taifa ya zimbabwe kwa magoli 3-0, goli la kwanza liliandikwa na mchezaji michel bastos katika dakika 41, robinho dk 43 kipindi cha kwanza, na katika kipindi cha pili elano aliandika bao la tatu katika dk 10.

No comments:

Post a Comment