KARIBUNI KIWANJA

Thursday, June 3, 2010

MTOTO ALIYETEKWA HUYU HAPA

Mtoto Grace Calvin (5) aliyedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana juzi katika Kata ya Hedaru wilayani Same na kusababisha wananchi kuchoma Kituo cha Polisi na magari matatu. (Picha na Martha Fataely).

No comments:

Post a Comment