KARIBUNI KIWANJA

Tuesday, June 8, 2010

TANZANIA VS BRAZIL KATIKA PICHA

Rais jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na mchezaji nyota akimataifa kutoka timu ya Robinho (11) huku Ricardo Kaka (kushoto)akisumbiri kumsalimia Rsis Kikweete kabla ya mechi ya kirafiki kati ya timu hiyoo ya brazil na timu ya taifa ya tanzania taifa stars iliyochezwa usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaaam ambapo brazil wailichapa taifa stars mabao 5-1


No comments:

Post a Comment