Tuesday, June 8, 2010
walioenguliwa kundi la TMK wanaume halisi kutangaza msimamo wao kesho
Baadhi ya Wasanii waliotoka TMK Wanaume Halisi watafanya utambulisho wa kundi jipya na sababu za choko choko za mambo yote na mikakati rasmi na mambo mengine siku ya siku ya Jumatano (kesho),mnamo majira ya saa 5 kamili asubuhi pale Idara ya Habari MAELEZO,Tunaomba ushirikiano wako" Ni meseji ambayo nimetumiwa na msanii aliyekuwa ndani ya kundi la Wanaume Halisi,ambaye kwa sasa hayupo tena pamoja na baadhi ya wasanii wenzake kadhaa,aitwaye Rich One
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment